Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AKABIDHIWA KADI YA KWANZA YA ATM YA CRDB AL- BARAKAH YA BENKI YA CRDB IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Benki ya CRDB, walikiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-9-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg. Badru Idd akizungumza na kuutambulisha ujumbe aliofuatana nao, kwa ajili ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.(Picha na Ikulu)

MKUU wa Kitengo cha Huduma za Benki Zinazofuata Misingi ya Sheria Benki ya CRDB (Islamic Banking)Ndg. Rashid Rashid, akizungumza kuhusiana na Akaunti ya Al- Barakah, wakati wa hafla ya kukabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al -Barakah Benki. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Meneja wa Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, baada ya kumalizika kwa hafla ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments