Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 22 Agosti, 2023 amemtembelea na kumjulia hali Spika mstaafu Mhe. Pius Msekwa nyumbani kwake Kinondoni Jijini Dar es Salaam. (Kushoto ni Mke wa Pius Msekwa Bi. Anna Abdallah)
0 Comments