Ticker

6/recent/ticker-posts

SERIKALI YAONGEZA KASI KUIMARISHA HUDUMA YA MAJI DODOMA

Mafundi kutoka kampuni ya Mkandarasi Help Desk, wakifunga tenki la chuma la kukusanyia maji lenye ukubwa wa lita laki tano katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo Agosti 17, 2023. Kupitia mradi wa maji wa Nzuguni zaidi ya lita za maji milioni 7.6 zitazalishwa kwa siku, hivyo kuongeza asilimia 11 za upatikanaji maji katika Jiji la Dodoma na kuwanufaisha zaidi ya wakazi 75,968.
Mradi huu utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 4.8 hadi kukamilika kwake.
Mafundi kutoka kampuni ya Mkandarasi Help Desk, wakifanya vipimo wakati wakifunga tenki la chuma la kukusanyia maji lenye ukubwa wa lita laki tano katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo Agosti 17, 2023. Kupitia mradi wa maji wa Nzuguni zaidi ya lita za maji milioni 7.6 zitazalishwa kwa siku, hivyo kuongeza asilimia 11 za upatikanaji maji katika Jiji la Dodoma na kuwanufaisha zaidi ya wakazi 75,968.

Post a Comment

0 Comments