Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Jukwaa Kuu la Viongozi katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, wakati wa ziara yake kukagua Mradi huo wa Ujenzi wake leo 27-8-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Mpira wa Amaan Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 27-8-2023. unaofanyiwa ukarabati mkubwa, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz alipofanya ziara kuangalia maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Ujenzi uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja leo 27-8-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Musatafa .(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments