Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZINDUA TAMASHA LA KIZIMKAZI DAY

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi D.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake ya uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi(KIZIMKAZI DAY) lililofanyika viwanja vya Kashangae Paje,Wilaya ya Kusini .{Picha na Ikulu] 26/08/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi D.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Umoja wa Wamasai Zanzibar Ndg,Thomas Malali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi(KIZIMKAZI DAY) lililofanyika viwanja vya Kashangae Paje,Wilaya ya Kusini .{Picha na Ikulu] 26/08/2023.
Rais akiangalia wanyama katika sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi leo huko Paje Wilaya ya Kusini Unguja viwanja vya Kashangae ,[Picha na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya kashangae Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Katiba uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi Day .[Picha na Ikulu] 26/08/2023.

Post a Comment

0 Comments