Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akiwa katika kikao cha pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje, wakwanza kulia ni Balozi Fatma Rajab (Muscat, Oman), Balozi Ali Jabir Mwadini (Ufaransa), Balozi Naim Aziz (Vienna, Austria) na Balozi Joseph Sokoine (Ottawa, Canada).Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ikiwemo masuala ya Uwekezaji, Huduma za Uhamiaji, Mapambano dhidi ya Biashara Haramu ya Binadamu na Mahusiano baina ya nchi ya Tanzania na nchi wanazoenda mabalozi hao.Kikao hicho kimefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akizungumza na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje, Balozi Joseph Sokoine(Ottawa,Canada) na Balozi Naim Aziz(Vienna, Austria).Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ikiwemo masuala ya Uwekezaji, Huduma za Uhamiaji, Mapambano dhidi ya Biashara Haramu ya Binadamu na Mahusiano baina ya nchi ya Tanzania na nchi wanazoenda mabalozi hao. Kikao hicho kimefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Balozi anaeiwakilisha Tanzania katika nchi ya Vienna, Austria, Naim Aziz akizungumza wakati wa Kikao kilichomuhusisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia).Wengine ni Balozi Fatma Rajab (Muscat, Oman) na Balozi Joseph Sokoine (Ottawa, Canada).Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ikiwemo masuala ya Uwekezaji, Huduma za Uhamiaji, Mapambano dhidi ya Biashara Haramu ya Binadamu na Mahusiano baina ya nchi ya Tanzania na nchi wanazoenda mabalozi hao.Kikao hicho kimefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje, muda mfupi baada ya kumaliza kikao, wakwanza kulia ni Balozi Fatma Rajab (Muscat, Oman), Balozi Joseph Sokoine(Ottawa, Canada),wakwanza kushoto ni Balozi Ali Jabir Mwadini (Ufaransa) na Balozi Naim Aziz (Vienna, Austria).Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ikiwemo masuala ya Uwekezaji, Huduma za Uhamiaji, Mapambano dhidi ya Biashara Haramu ya Binadamu na Mahusiano baina ya nchi ya Tanzania na nchi wanazoenda kuiwakilisha Tanzania mabalozi hao.Kikao hicho kimefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
0 Comments