Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi), Mhe. Atupele Mwakibete akifafanua jambo wakati wa kikao cha mashirikiano na wasajili na wataalam wa Bodi ya Usajili Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB) na Bodi ya Usajili wa wasanifu majengo, wahandisi na wakadiriaji majenzi (AEQSRB), (Hawapo pichani), jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Usajili Wahandisi (ERB), Mhandisi Bernad Kavishe akizungumza kwenye kikao cha Mashirikiano kilichowakutanisha Wasajili na Wataalam wa Bodi ya Usajili Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB) na Bodi ya Usajili wa wasanifu majengo, wahandisi na wakadiriaji majenzi (AEQSRB).(Hawapo pichani), jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Mhe. Atupele Mwakibete (wa tatu kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe kutoka Bodi za usajili wa Wahandisi Tanzania na Zanzibar, mara baada ya kikao kilichofanyika Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi), Mhe. Atupele Mwakibete kwenye kikao cha mashauriano kilichowakutanisha Bodi ya Usajili Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB) na Bodi ya Usajili wa wasanifu majengo, wahandisi na wakadiriaji majenzi (AEQSRB) kutoka Zanzibar, jijini Dodoma.
PICHA NA WUU
0 Comments