Ticker

6/recent/ticker-posts

BALOZI DKT.DAU AANZA KAZI RASMI


Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTB wakifuatilia mazungumzo wakati wa kikao kilichofanyika katika hotel ya Gran Melia.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Tanzania (TTB), Mhe.Balozi Dkt. Ramadhan Dau ameanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa kukutana na Menejimenti ya TTB kwa lengo la kupata taarifa za TTB na kuweka mikakati ya kutekeleza majukumu aliyopewa. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 22 Agosti, 2023 katika hotel ya Gran Melia, jijini Arusha.

Wajumbe wa Menejiment ya TTB wakifuatilia mazungumzo wakati wa kikao
Baadhi ya Wajumbe wa Menejiment ya TTB waliyohudhuria kikao hicho

Post a Comment

0 Comments