Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 11, 2023 amekutana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania anayemaliza muda wake, Mheshimiwa Hussain Ahmad Al-Homaid katika Ofisi kwake Oysterbay, Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine, Mheshimiwa Majaliwa amemuomba Balozi Homaid akawe balozi mzuri wa kuitangaza Tanzania kwa sababu anafahamu vizuri fursa zilizopo nchini.
0 Comments