Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Zakia Mohamed Abubakar kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Omar Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jaji Mstaafu Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Makamu Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Elijah Mwandumbya kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Lawrence Mafuru kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Hamad Hassan Chande kuwa Naibu Waziri wa Fedha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Exaud Kigahe kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Fedha, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Viongozi mbalimbali wakila Kiapo cha Maadili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Balozi Moses Kusiluka, Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Sivangilwa Mwangesi pamoja na Viongozi mbalimbali aliowaapisha Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.

Post a Comment

0 Comments