RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Kaimu Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Fahad Al Harbi (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Ujumbe wake kutoka kwa Mfalme Salman, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 24-7-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Kaimu Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe. Fahad Al Harbi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kutoka kwa Mfalme Salman (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-7-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleima.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Kaimu Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe. Fahad Al Harbi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-7-2023.(Picha na Ikulu)
0 Comments