RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini wa Fedha za Mkopo kutoka kwa Benki ya NBC kwa kushirikiana na Benki ya NMB, kwa upande wa Benki ya NBC akisaini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Ndg.Theobald Sabi (kulia kwa Rais) na kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akisaini Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma Malik Akili (kushoto kwa Rais) hafla hiyo ya utiaji wa saini iliyofanyika leo 14-7-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini wa Fedha za Mkopo kutoka kwa Benki ya NMB kwa kushirikiana na Benki ya NBC, kwa upande wa Benki ya NMB akisaini Afisa Mkuu wa Fedha Benki ya NMB.Ndg.Juma Kimori (kulia kwa Rais) na kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akisaini Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma Malik Akili (kushoto kwa Rais) hafla hiyo ya utiaji wa saini iliyofanyika leo 14-7-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa saini wa Fedha za Mkopo kutoka kwa Benki za NMB na NBC, kwa ajili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) utiaji wa saini huo uliyofanyika leo 14-7-2023, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na wa Benki ya NMB na NBC wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa utiaji wa saini wa Fedha za Mkopo zinazotolewa kwa kushirikiana na benki hizo kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-7-2023.(Picha na Ikulu)
0 Comments