RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Bima ya Kiislam ya Tafakul na Kampuni Tanzu ya Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 5-7-2023.(Picha na Ikulu)
0 Comments