Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo Julai 1,2023 kwa ajali ya kugongwa na Trekta (Power Tiller) shambani kwake Mbarali Mkoani Mbeya
Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Mkoa kusini Unguja Mhe. Issa Ussi Gavu ambaye ni Katibu …
Read more
0 Comments