Ticker

6/recent/ticker-posts

MADETE ATOA ZAWADI YA MASHATI YA SHULE KWA VIJANA WA HAMASA CCM SHINYANGA MJINI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga Mjini (UVCCM), Jonathan Madete akimkabidhi shati la shule mmoja wa Vijana wa Hamasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini.

Na Halima Khoya - Shinyanga

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga Mjini (UVCCM), Jonathan Madete ametoa zawadi ya mashati ya shule kwa Vijana wa Hamasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wanaosoma katika shule mbalimbali huku akiwataka kutumia vyema fursa ya elimu bure.

Akizungumza wakati akigawa sare hizo za shule kwa vijana wa Hamasa leo Julai 06 2023 katika ofisi ya CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Jonathan Madete amesema ataendelea kutoa mashati katika awamu nyingine ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa vijana.

Aidha amewataka vijana kuchangamkia fursa mbali mbalizinazotolewa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo.

Akizungumza kwa niaba ya vijana wa Hamasa Kulwa Bundala, wameahidi kutumia vyema fursa zinazopatikana ndani ya CCM sambamba na kujenga vijana imara kwa manufaa ya chama.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga Mjini (UVCCM), Jonathan Madete akizungumza na Vijana wa Hamasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini. Picha na Halima Khoya
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga Mjini (UVCCM), Jonathan Madete akizungumza na Vijana wa Hamasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini.

Vijana wa Hamasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakifanya mazoezi

Post a Comment

0 Comments