Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AZUNGUMZA NA TAASISI YA ULINGO NA KUKABIDHIWA TUZO MAALUM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Taasisi ya Tanzania Women Cross Party Platform (ULINGO) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumkabidhi TUZO Maalum ya kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 12-6-2023, ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma (kulia kwa Rais).(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kumpongeza,iliyotolewa na Taasisi ya Tanzania Women Cross Party Platform (ULINGO) akikabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-6-2023.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Taasisi ya Tanzania Women Cross Party Platform (ULINGO) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-6-2023, walipofika Ikulu kwa ajili ya kumkabidhi TUZO maalum ya kumpongeza.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments