RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzi na mgeni wake Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess, alipofika Ikulu kwa mazungumza na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-6-2023 na (kushoto kwa Rais)Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, alipofika kwa mazungumzo na kumuaga leo 8-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya picha mgeni wake Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-6-2023, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Regine Hess, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-6-2023. Alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania. (Picha na Ikulu)
0 Comments