Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI APOKEA TAARIFA YA UWASILISHWAJI WA HESABU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati ukipingwa wimbo wa Taifa, kabla ya kuaza kwa hafla ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iliyowasilishwa leo 3-6-2023 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali akiwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Serikali na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,iliyowasilisha na Mdhibiti na Mkuguzi Mkuu wa Serikali Dkt.Othman Abbas Ali, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Viongozi na Wananchi, baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iliyowasilisha leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BAADHI Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wageni waalikwa wakifuatilia taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakati ikiwasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)


VIONGOZI wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abaas Ali, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

VIONGOZI mbalimbali wa Serikali wakiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kushoto kwake) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman,Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar.Dkt. Othman Abbas Ali, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG) Charles Kichele na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa, wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati ukipigwa wimbo wa Taifa.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, kwa ajili ya uwasilishwaji wa Taarifa za Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iliyowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Dkt. Othman Abbas Ali, iliyowasilishwa leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments