Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AONDOKA ZANZIBAR AKIELEKEA NCHINI CHINA KWA ZIARA YA KIKAZI LEO 26-6-2023

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akisalimiana na kuagana na Viongozi wa mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini China kwa ziara ya Kikazi leo 26-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akielekea Nchini China kwa ziara ya Kikazi leo 26-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini China kwa ziara ya Kikazi leo 26-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, alipowasili Ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini China kwa ziara ya Kikazi leo 26-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Idrisa Kitwana Mustafa, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohammed Mussa, alipowasili katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini China kwa ziara ya Kikazi leo 26-6-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments