Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AMUAPISHA NAIBU MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Said Khamis Juma, baada ya kumaliza kumuapisha, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt. Said Khamis Juma kuwa Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika leo 10-6-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments