Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenipha Omolo akiwahutubia washiriki wa mafunzo ya matumizi ya Mifumo ya Kielektroniki ya Usimamizi wa Kodi ya Zuio iliyoboreshwa ambao ni Wahasibu kutoka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Serikali. Mafunzo hayo yameandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango na yamefanyika mkoani Dodoma katika ukumbi wa Hoteli ya African Dream.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata akizungumza wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa mafunzo ya matumizi ya Mifumo ya Kielektroniki ya Usimamizi wa Kodi ya Zuio iliyoboreshwa kwa Wahasibu kutoka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Serikali. Mafunzo hayo yameandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango na yamefanyika mkoani Dodoma katika ukumbi wa Hoteli ya African Dream.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenipha Omolo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata wakiteta jambo wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa mafunzo ya matumizi ya Mifumo ya Kielektroniki ya Usimamizi wa Kodi ya Zuio iliyoboreshwa kwa Wahasibu kutoka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Serikali. Mafunzo hayo yameandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango na yamefanyika mkoani Dodoma katika ukumbi wa Hoteli ya African Dream.
Kamishna wa Idara ya Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Swalehe Byarugaba akitoa neno la shukrani wakati wa halfa fupi ya ufunguzi wa mafunzo ya matumizi ya Mifumo ya Kielektroniki ya Usimamizi wa Kodi ya Zuio iliyoboreshwa kwa wahasibu kutoka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Serikali. Mafunzo hayo yameandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango na yamefanyika mkoani Dodoma katika ukumbi wa Hoteli ya African Dream.
Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani) wakati wa halfa fupi ya ufunguzi wa mafunzo ya matumizi ya Mifumo ya Kielektroniki ya Usimamizi wa Kodi ya Zuio iliyoboreshwa kwa Wahasibu kutoka Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Serikali. Mafunzo hayo yameandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango na yamefanyika mkoani Dodoma katika ukumbi wa Hoteli ya African Dream.
0 Comments