Ticker

6/recent/ticker-posts

KATIBU MKUU UJENZI, ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE MSALATO


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Balozi Aisha Amour akitoa maelekezo kwa Mshauri elekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, Mhandisi Shegan Berharie, wakati Katibu Mkuu huyo alipokuwa akikagua maendeleo ya mradi huo, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Balozi Mhandisi Aisha Amour, akimsikiliza Mshauri elekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, Mhandisi Shegan Berharie, wakati akikagua maendeleo ya mradi huo jijini Dodoma.
kazi ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, Jijini Dodoma ikiendelea.

Post a Comment

0 Comments