Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, akizungumza na Mbunge wa Tabora Kaskazini, Mhe. Athumani Almas Maige, mara baada ya semina iliyofanyika leo jijini Dodoma katika Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa.

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge katika semina iliyofanyika leo jijini Dodoma katika Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa.
0 Comments