RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Norway Nchini Tanzania.Mhe. Elizabeth Jacobsen, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuja kumuaga leo 11-5-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Elizabeth Jacobsen, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 11-5-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Elizabeth Jacobsen, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2023.(Picha na Ikulu)
0 Comments