Ticker

6/recent/ticker-posts

PROF. NDALICHAKO AWEKA MKAZO KWENYE UMUHIMU WA ELIMU YA UFUNDI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi linalowakutanisha wadau mbalimbali wa Elimu wakiwemo vyuo, waajiri, taasisi za serikali wadau wa maendeleo na sekta binafsi ili kujadili na kubadilishana uzoefu katika kukuza elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi kwa maendeleo ya nchi leo Mei 16,2023 Jijini Arusha

****************

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako (Mb), ahimiza ushirikiano kati ya taasisi zinazotoa mafunzo ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya ufundi Stadi na waajiri katika kukuza na kuimarisha ujuzi kwa wahitimu.

Prof. Ndalichako ameyasema hayo leo terehe 16 Mei, 2023 jijini Arusha katika Ukumbi wa Mount Meru Hotel jijini Arusha wakati akifungua kongamano la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi linalowakutanisha wadau mbalimbali wa Elimu wakiwemo vyuo, waajiri, taasisi za serikali wadau wa maendeleo na sekta binafsi ili kujadili na kubadilishana uzoefu katika kukuza elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi kwa maendeleo ya nchi.

Kongamano hili litafanyika kwa muda wa siku mbili Tarehe 16 -17 , Mei 2023 na ni sehemu ya Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayoendelea katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako akiwa pamoja Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) Dkt. Adolf Rutayuga (waliosimama katikati) wakiwa katika ufunguzi wa kongamano la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi linalowakutanisha wadau mbalimbali wa Elimu wakiwemo vyuo, waajiri, taasisi za serikali wadau wa maendeleo na sekta binafsi ili kujadili na kubadilishana uzoefu katika kukuza elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi kwa maendeleo ya nchi leo Mei 16,2023 Jijini Arusha
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) Dkt. Adolf Rutayuga wakati wa ufunguzi wa kongamano la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi linalowakutanisha wadau mbalimbali wa Elimu wakiwemo vyuo, waajiri, taasisi za serikali wadau wa maendeleo na sekta binafsi ili kujadili na kubadilishana uzoefu katika kukuza elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi kwa maendeleo ya nchi leo Mei 16,2023 Jijini Arusha

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa elimu nchini wakati wa ufunguzi wa kongamano la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi linalowakutanisha wadau mbalimbali wa Elimu wakiwemo vyuo, waajiri, taasisi za serikali wadau wa maendeleo na sekta binafsi ili kujadili na kubadilishana uzoefu katika kukuza elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi kwa maendeleo ya nchi leo Mei 16,2023 Jijini Arusha
Wadau mbalimbali wa elimu nchini wakiwa katika ufunguzi wa kongamano la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi linalowakutanisha wadau mbalimbali wa Elimu wakiwemo vyuo, waajiri, taasisi za serikali wadau wa maendeleo na sekta binafsi ili kujadili na kubadilishana uzoefu katika kukuza elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi kwa maendeleo ya nchi leo Mei 16,2023 Jijini Arusha

Post a Comment

0 Comments