Ticker

6/recent/ticker-posts

MKUTANO WA WANACHAMA MISA TANZANIA WAFANYIKA DODOMA

Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Salome Kitomari akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26,2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Mkutano wa ziada wa kawaida wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26, 2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.

Mkutano huo umetanguliwa na Maadhimisho ya Miaka 30 ya MISA Tanzania yaliyofanyika Mei 25,2023 uliowaleta pamoja wanachama,viongozi na watendaji wa MISA-Tanzania pamoja na wadau wa Habari na washirika wake wa ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kufanya tafakuri na kuwa na mwelekeo mzuri katika kuleta mabadiliko katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku ya kuhabarisha umma.

Mkutano huo umeongozwa na Kauli mbiu isemayo "Uhuru wa Kujieleza Msingi wa Haki Zote kwa Maendeleo Endelevu"

Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26, 2023. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26, 2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26, 2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26, 2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Salome Kitomari akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26,2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Salome Kitomari akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26,2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Salome Kitomari akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26,2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Salome Kitomari akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26,2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania, Wakili James Marenga akizungumza wakati wa Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania leo Ijumaa Mei 26,2023 katika Ukumbi wa New Dodoma Hotel Jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili Masuala mbalimbali yanayohusu Misa Tanzania.

Mkutano wa Wanachama wa MISA Tanzania ukiendelea

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Post a Comment

0 Comments