Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET NA LIPANGILE WATOA MSAADA SALASALA NA KILONGAWIMA


Sadala Lipangile ametimiza ahadi yake aliyoiweka baada ya kushinda challenge ya penati inayosimamiwa na Meridianbet na kurudisha kwa jamii yake kama ambavyo aliahidi, Mchezaji huyo ametoa msaada mtaani kwake ambapo amekulia na kukua ambayo ni mitaa ya Salasala na Kilongawima.

Akiwa na uwakilishi kutoka Meridianbet wa mkuu wa Kitengo cha Masoko na mawasiliano bwana Matina Nkurlu Sadala Lipangile alifanikiwa kutimiza asthma tyake baada ya kutoa vitu mbalimbali kwa familia takribani kumi zisizojiweza mitaa ya Salasala na Kilongawima na vitu hivyo vilikua Mafuta ya kupikia, Mchele, Sukari,Sabuni, pamoja na Vifaa vya kufanyia Usafi.

Akiongea na wanahabari Sadala Lipangile alisema “Kwanza ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa leo, Lakini kubwa zaidi nawashukuru wadhamini wa timu ninayoitumiikia kwani imekua faraja kuifikia siku hii na kuweza kutoa msaada kwa jamii yangu iliyonikuza na kunilea nawashukuru sana Meridianbet kwa namna wanavyohakikisha wanarudisha kwa jamii hata kile kidogo wanachopata”

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Matina Nkurlu pia alipata nafasi ya kuzungumza “Hiki kilichofanywa na Lipangile ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya Uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.

Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili leo ushinde mtonyo mrefu, twende kazi.

“Leo Meridianbet tukishirikiana na Sadala Lipangile kuzipa faraja familia na wakazi wa Salasala na Kilongawima alipoishi Lipangile hadi kufikia ndoto zake, Na kesho huenda akawa mtu mwingine mkubwa akafikia jamii yake kupitia sisi, Hivo basi tunaahidi huu utakua mwendelezo kutoka Meridianbet kwa kshirikiana na klabu ya KMC FC kurudisha kwenye jamii” Alisema Matina Nkurlu

Lakini pia waliopokea msaada hawakua nyuma katika kushukuru kile kilichofanywa na Sadala Lipangile kwa kushirikiana na Meridianbet na kusema wamefurahishwa sana na kilichofanywa na kijana wao kuweza kuwakumbuka na kuwapa msaada, Vilevile wakitoa shukrani kwa Meridianbet na kusema wao ni mfano wa kuigwa kwani wamekua wakirudisha kwenye jamii kila inapowezekana.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Post a Comment

0 Comments