Ticker

6/recent/ticker-posts

MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA RASIMU YA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) akizungumza katika Kikao cha Kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa Jumatatu Mei 29, 2023, Bungeni, jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu, Kaspar Mmuya, na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo Mei 26, 2023, na kuhudhuriwa na Watendaji Wakuu wa Taasisi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akizungumza katika Kikao cha Kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa Jumatatu Mei 29, 2023, Bungeni, jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu, Kaspar Mmuya, na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi. Kikao hicho kimefanyika jijini Dar es Salaam, leo Mei 26, 2023, na kuhudhuriwa na Watendaji Wakuu wa Taasisi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya akizungumza katika Kikao cha Kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa Jumatatu Mei 29, 2023, Bungeni, jijini Dodoma. Kikao hicho kimefanyika jijini Dar es Salaam, leo Mei 26, 2023, na kuhudhuriwa na Watendaji Wakuu wa Taasisi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza katika Kikao cha Kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa Jumatatu Mei 29, 2023, Bungeni, jijini Dodoma. Kikao hicho kimefanyika jijini Dar es Salaam, leo Mei 26, 2023, na kuhudhuriwa na Watendaji Wakuu wa Taasisi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Post a Comment

0 Comments