Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU AIALIKA TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA WANAWAKE YA SEKONDARI YA FOUTAIN GATE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya wasichana ya Shule ya Sekondari Fountain Gate ya jijini Dodoma, Beatrice Charles sh. milioni tano zikiwa ni zawadi yake kwa timu hiyo iliyotwaa ubingwa Afrika katika Mshindano ya Shule za Sekondari kwa Wasichana kwenye hafla ya kuipongeza timu hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa bungeni jijini Dodoma, Machi 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya wasichana ya Shule ya Sekondari Fountain Gate ya jijini Dodoma na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 13, 2023. Timu hiyo ilikwenda bungeni kwa mwaliko wa Waziri Mkuu baada ya kutwaa ubingwa wa Afrika wa Michichuano ya Shule za Skondari kwa Wasichana. Kushoto kwake ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pindi Chana na kulia kwake ni Rais wa Shirkikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallas Karia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya wasichana ya Shule ya Sekondari Fountain Gate ya jijini Dodoma, Beatrice Charles sh. milioni tano zikiwa ni zawadi yake kwa timu hiyo iliyotwaa ubingwa Afrika katika Mshindano ya Shule za Sekondari kwa Wasichana katika hafla ya kuipongeza timu hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa bungeni jijini Dodoma, Machi 13, 2023. Kushoto niu Mkurugenzi wa Shule hiyo, Japhet Makau. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments