: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/4TONkF
Mpira wa miguu ni moja ya mchezo pendwa kwa sasa dunaiani, hukusanya mashabiki wengi kwa pamoja kitu kinachoufanyamchezo huu uwe pendwa ni hisia za mchezo goli likifungwa, au kufunga watu hushangilia au kuzomea kwa pamoja sehemu zote. Wikiendi hii hisia hizo zitakuwa mara mbili Zaidi kwa sababu Meridianbet wameamua kuongeza odds kubwa kwenye mechi zote, machaguo pia ni mengi na promosheni za kila aina unazipata Meridianbet.
Jumamosi haitokua ya kinyonge EPL itarejea tena kwa kasi ni mechi kali kati ya Aston Villa vs Newcastle waliopo nafasi ya 3 kwenye Premier League wakati huo Villa akiwa nafasi ya 6 anaitafuta TOP FOUR. Pia vijana wa Frank Lampard wakiwa mtaa wa 11 watakipiga na Brighton hapa napo ni patamu odds kubwa kutoka Meridianbet zinampa nafasi kubwa ya ushindi Chelsea kwa odds kubwa ya 2.65 huku Brighton ana 2.60.
Bayrn Munich watamkosa Sadio Mane kwenye mchezo wa Hoffenheim kwa makossa ya kupigana na Sane kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, je kukosekana kwa Mane kutaifanya Bayen kupoteza mchezo huo? Bashiri na Meridianbet odds kubwa kila mechi, lakini pia kuna kasino ya mtandaoni inayokupa ushindi mkubwa kila siku Bonyeza hapa kupata pesa zako kutoka kasino ya mtandaoni www.meridianbet.co.tz
Mechi kali La Liga ni kati ya Athletic Club vs Real Sociedad , Cadiz vs Real Madrid ambao wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wanazitaka pointi tatu ili kupunguza nafasi yao na Barca ambao ni vinara wa La Liga. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Real Madiri lakini odds kubwa Zaidi amepewa Cadiz 5.68 ashinde mbele ya Madrid je ataweza?
Jumapili ya kibabe sana pale EPL, West Ham anawakaribisha vinara wa Ligi Arsenal, wakati huo United atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Nottingham Forest. Pia kwenye Serie A Juventus atakuwa ugenini dhidi ya Sassuolo, Roma vs Udinese. Bashiri Meridianbet mechi hizi zina odds kubwa, kama sio mpenzi wa kubashiri soka unaweza kucheza kasino ya mtandaoni kupitia www.meridianbet.co.tz
0 Comments