Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI ASALIMIANA NA KUZUNGUMZA NA MASHEIKH WA ZANZIBAR BAADA YA SALA YA EID EL FITRY IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Masheikh wa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh wa Zanzibar katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh.Sameer Zulfiqar, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na (kulia ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Masheikh wa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumsalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments