Ticker

6/recent/ticker-posts

VIONGOZI MBALIMBALI WASHIRIKI HAFLA YA UTOAJI WA TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU

Wahamasishaji wa Uandishi bunifu wakiongoza hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es SalaamRais Mstaafu wa Msumbiji Mhe.Joaquim Alberto Chissano akiwa pamoja na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akiwa katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam


Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo akiwa katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam

Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa akiwa katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba akiwa katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Edward Mpogolo akiwa katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam
Waandishi nguli wa mashairi na riwaya mbalimbali wakiwa katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam
Waandishi nguli wa mashairi na riwaya mbalimbali wakiwa katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam
Mwandishi wa nguli wa vitabu vya Riwaya nchini Richard Mabala akiwa katika hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana leo Aprili 13,2023 Jijini Dar es Salaam


(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

******************

Viongozi mbalimbali nchini na nje ya Tanzania, wamehudhuria hafla ya utoaji tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu.

Hafla hiyo imefanyika leo Alhamisi 13, 2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam.

Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Rais Mstaafu wa Msumbiji, Joaquim Chissano, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Rizik Mdoe na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk Carolyne Nombo.

Wadau wa uandishi bunifu nao walikuwepo katika hafla hiyo ambayo ni mara ya kwanza kufanyika nchini


Post a Comment

0 Comments