RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Tatu wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Tanzania Abdul-Wahabu Daudi Biro,baada ya kuibuka mshindi wa Tatu katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023.(Picha na Iulu)




0 Comments