Ticker

6/recent/ticker-posts

KUELEKEA MKUTANO WA WACHIMBAJI WADOGO NA WADAU WA MADINI YA VIWANDA


Leo April 4, 2023 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dkt. Venance Mwasse, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda Leodigar Tenga, Mwenyekiti wa DACOREMA Josephat Mkombachepa na Katibu wa Chama cha Wanawake Wachimbaji Madini Tanzania (TAWOMA) Salma Ernest wamekutana na waandishi wa habari kuzungumza masuala mbalimbali yatakayojitokeza katika Mkutano huo wa wadau wa madini.

Mkutano huo utafanyika tarehe 5 na 6 April, 2023 ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko.

Kauli Mbiu ni "Madini ya Viwandani kwa Uchumi Wetu na Mazingira Bora"

Zifuatazo ni baadhi ya matukio katika Kikao kifupi cha STAMICO na Wanahabari.


Post a Comment

0 Comments