Ticker

6/recent/ticker-posts

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto) akipongezana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni jijini Dodoma, Aprili 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama (kulia)baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni jijini Dodoma, Aprili 13, 2023. Wa pili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi na wa pili kushoto ni Waziri wa mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Stagomena Tax. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments