Ticker

6/recent/ticker-posts

WIKIENDI INAKAMILISHWA NA MERIDIANBET KWA ODDS KUBWA



********************


Sub heading: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/4La76D

Wikiendi hii ya moto sana, kuna Der Klessiker kutoka Bundasliga ni Bayern Munich vs Borussia Dortmund, EPL Erling Halaand atakutana na Darwin Nunez wakati Napoli nao wakijiandaa kukipiga na AC Milan unaanzaje kuziacha mechi hizi bila kubashiri na Meridianbet ikiwa zote zimepewa odds kubwa.

Ni Pep Guardiola na Jurgen Klopp watatunishia misuli kwa ubora wa mbinu zao, haipingwi mjerumani huyo wa Anfield ni moja ya makocha bora EPL lakini haitoshi kumuweka chini Guardiola. Ni Manchester City vs Liverpool odds kubwa Meridianbet unazipata jiunge na mabingwa uwe bingwa.

Wakati hayo yanaendelea kwenye dimba la Stamford Bridge darajani Chelsea atakua na shughuli ya kuzisaka pointi 3 kutoka kwa Aston Villa. Odds za ushindi ziko hivi Chelsea 1.67 vs 5.09 ya Villa. Lakini pia vinara wa Ligi Arsenal jeshi la Arteta litakipiga na Leeds ambao wamepewa odds kubwa ya 9.60 ashinde huku sare ikiwa na 5.88, odds za ushindi Newcastle vs Man United 2.40 vs 2.89 Bashiri mubashara mechi hizi au kwenye duka la ubashiri la Meridianbet uwe moja ya washindi.

Moja ya ligi ngumu sana Bunasliga kuna michezo mingi wikiendi hii mechi kali ni Wolfsburg vs Augsburg, Union Berlin vs Stuttgurt, RB Leipzig vs Mainz lakini mechi inayosubiriwa na wengi ni Derby ya Der Klassiker ni Bayern Munich vs Borussia Dortmund wakiwa na utofauti wa alama 1 tu Bayern Munich wa pili kwenye msimamo na alama 52 wakati Dortmund anaongoza ligi kwa pointi 53, huu mchezo utaishaje? Odds kubwa za ushindi ni Dortmund ana 5.48 sare 5.09 na ushindi kwa Bayern una 1.47

Mkeka wako hakikisha umekamilika na ili ukamilike hakikiza unapita kwenye ligi kubwa ulaya Serie A Juventus atakipiga na Verona, Inter Milan vs Fiorentina, Roma vs Sampdoriahuku kubwa kuliko ni odds kubwa mechi ya Napoli dhidi ya AC Milan machaguo 1000+ bashiri mubashara au kwenye duka la ubashiri ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

Post a Comment

0 Comments