Ticker

6/recent/ticker-posts

WIKI YA NENDA KWA USALAMA MERIDIANBET YAWAFIKIA BODABODA



Msaidizi wa mkuu wa kitengo cha usalama barabarani mkoa wa kipolisi Kawe Inspekta Alex Duguza, amepokea viakisi mwanga 100 ‘Reflectors’ kutoka Meridianbet ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani huku akitoa elimu ya usalama kwa madereva bodaboda.

Inspekta Duguza alitoa elimu kwa bodaboda na kuishukuru pia kampuni ya Meridianbet kwa kuwashika mkono vijana hao.

“Meridianbet hiki mlichokifanya ni kitu kikubwa sana kwani itawasaidia madereva bodaboda kujikinga na ajali za barabarani, huu ni mfano wa kuigwa hata kwa makampuni mengine” Inspekta Duguza.

Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni waliwatembelea Bodaboda wa maeneo ya Kawe na kuwapa Reflector kujinga na ajali.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu alisema kuwa lengo la kutoa Reflector hizo ni kuzuia ajali za barabani ikiwa ni wiki ya nenda kwa usalama barabarani.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawa na sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatisha ndoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi ya ufanyaji kazi”

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.


Post a Comment

0 Comments