Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZINDUA PROGRAMU YA KILIMO CHA MASHAMBA MAKUBWA YA PAMOJA (BLOCK FARMING) CHINANGALI MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti katika eneo la Mradi wa Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson wakati akizindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuhusiana na Miundombinu ya umwagiliaji mara baada ya kuzindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa Funguo Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya umwagiliaji Raymond Mndolwa kwa ajili ya Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Dodoma mara baada ya kuzindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa (Block Farming) ya pamoja Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi pamoja na Kikundi cha ngoma za asili za Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili Chinangali Mkoani humo tarehe 20 Machi, 2023.



Sehemu ya Mashamba yanayotumika katika programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Vijana mfano wa hundi ya Sh. Milioni 200 kwa ajili ya Shughuli za Kilimo kwa Vijana hao kwenye mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming), Chinangali Mkoani Dodoma


Post a Comment

0 Comments