Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Joseph Ntakirutimana mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 03 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Joseph Ntakirutimana aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 03 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Joseph Ntakirutimana mara baada ya Mazungumzo Ikulu Ndogo Jijini Arusha.

0 Comments