Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu pamoja na viongozi wengine wa Serikali kabla ya kufunga Mkutano wa Faragha wa viongozi hao uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 04 Machi, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwemo, Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu pamoja na Naibu Makatibu Wakuu wakiwa kwenye Mkutano wa Faragha uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 04 Machi, 2023.
0 Comments