Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AFUNGUA MASJID NOOR, ENEO KWA HAJI TUMBO ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Masjid Noor (Msikiti Kichaka) uliopo kwa Haji Tumbo, Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi baada ya kujengwa upya ukiwa wa Ghorofa moja uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Ali Salim Ali (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora [Picha na Ikulu] 24/03/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua Masjid Noor (Msikiti Kichaka) uliopo kwa Haji Tumbo, Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi baada ya kujengwa upya ukiwa wa Ghorofa moja uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Ali Salim Ali (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora,(kulia). [Picha na Ikulu] 24/03/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla ya ufunguzi Masjid Noor (Msikiti Kichaka) uliopo kwa Haji Tumbo, Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi baada ya kujengwa upya ukiwa wa Ghorofa moja, kwa ufadhili wa Sheikh Ali Salim Ali.[Picha na Ikulu] 24/03/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Sheikh Muffadal Naeem wakati wa hafla ya ufunguzi Masjid Noor (Msikiti Kichaka) uliopo kwa Haji Tumbo, Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi baada ya kujengwa upya ukiwa wa Ghorofa moja, (katikati) Sheikh Ali Salim Ali.[Picha na Ikulu] 24/03/2023.

Masjid Noor (Msikiti Kichaka) Kwa Haji Tumbo Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi umefunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi baada ya kujengwa upya ukiwa wa Ghorofa Moja uliojengwa na Mfadhili Sheikh Ali Salim Ali.[Picha na Ikulu] 24/03/2023.

Post a Comment

0 Comments