RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulizindua Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe wa Zanzibar, Wilaya ya Mjini Unguja leo 22-3-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na (kulia kwa Rais) Muwekezaji wa Hoteli hiyo Bw.Hussein Muzzamil.(Picha na Ikulu)
WAGENI Waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar leo 22-3-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Muwekezaji Mzalendo wa Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. Bw. Hussein Muzzamil, baada ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar leo, 22-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar Mji Mkongwe Wilaya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-3-2023, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli hiyo shangani.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kulizindua Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-3-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Mzalendo wa Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.Bw. Hussein Muzzamil na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)
MUWEKEZAJI Mzalendo wa Hoteli ya Tembo Shangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar Bw. Hussein Muzzamil, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe wa Zanzibar,Wilaya ya Mjini Unguja uliofanyika leo 22-3-2023.(Picha na Ikulu)
0 Comments