Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS ALHAJ DKT. HUSSEIN MWINYI AMETEOA MKONO WA POLE.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume (kulia) mara alipofika kutoa pole kwa Familia ya Marehemu Bw,Shaaban Iddi Mabrouk, Ndugu wa Makamo Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Bi.Dogo Iddi Mabrouk Kwahani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo .[Picha na Ikulu] 27/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipofika kuwapa pole familia ya Makamo Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Bi.Dogo Iddi Mabrouk aliyefiwa na kaka yake Marehemu Bw,Shaaban Iddi Mabrouk, Kwahani Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 27/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Wananchi na wanafamilia ya Marehemu Bw,Shaaban Iddi Mabrouk, Ndugu wa Makamo Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Bi.Dogo Iddi Mabrouk Kwahani Wilaya ya Mjini alipofika kutoa mkono wa pole leo .[Picha na Ikulu] 27/03/2023.

Post a Comment

0 Comments