Sub-Heading: Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
Nasemajee!! Kama wewe umekua ukichana mikeka yako basi acha mara moja hiyo ni hela unaichana, mkeka wako una odds kuanzia 25 na kuendelea halafu ikitokea timu moja imekuchania mkeka wako usihofu Meridianbet mabingwa wa odds kubwa bao wewe ni mshindi.
Habari njema zikufikie popote ulipo mdau wa kubashiri na Meridianbet kwakuwa unapata odds kubwa, machaguo Zaidi ya 1000+ na Ofa za kumwanga, kuna hii nyingine ya kijanja Zaidi unaambiwaje usijali endapo mkeka wako utachanika kwa timu moja, kwao Meridianbet mkeka bado umeshinda kwa sababu wanakurudishia mara 100 ya dau lako uliloweka.
Nifanyeje Nirudishiwe Hela Zangu?
Kitu unachopaswa kufanya ni kuhakikisha umebashiri tiketi yenye odds kubwa kuanzia 25+ hadi 950+ utarejeshewa mara 100 ya dau lako endapo ikatokea timu moja imechana mkeka wako.
Mchanganuo Uko hivi!
Zingatia:
Ø Tiketi haitakiwi kuwa na bashiri ya mechi moja tu
Ø Unatakiwa uwe na angalau bashiri moja kutoka bashiri za kabla ya mechi.
Ø Haitakiwa kuweka machaguo mengi (Mult-bet) kutoka mechi moja
Ø Hii ni maalumu kwa tiketi zilizopoteza mechi moja na dau la bonasi halihusiki kwenye promosheni hii.
Ø Kupata jumla ya ushindi zidisha jumlaya odds zilizoshinda pekee (Odds za bonasi hazihesabiwi) kisha zidisha kwa namba zilizoainishwa kwenye jedwali hapo kulingana na idadi ya mechi kwenye tiketi yako.
Ø Hesabu za Odds kubwa zilizoshinda hazihusishi ongezeko la odds za bonasi.
0 Comments