Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET YAWASOGEZEA HUDUMA MWANANYAMALA



******************

Mwanayamala kwa wajanja mitaa ilisimama kusikiliza hotuba ya vijana wapambanaji, Meridianbet mabingwa wa Odds kubwa na kasino ya mtandaoni Meridianbet, walifika duka la ubashiri la Mwananyamala kufanya uzinduzi wa duka hilo kwa kutoa huduma bora za ubashiri, kubwa Zaidi Odds kubwa kila mechi, machaguo Zaidi ya 1,000.


Huu ni muendelezo wa uzinduzi wa maduka ya ubashiri ya Meridianbet kote nchini, jambo hili linaenda sambamba na ongezeko la odds kubwa kila mechi ambapo unaweza kubashiri mubashara, lakini pia michezo ya sloti bomba za Aviator, poker, Roulette kwenye kasino ya mtandaoni.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Kipi kilichofanyika?

Mgeni njoo mwenyeji apone unaweza kusema hivyo, kwa sababu Meridianbet iliyowakilishwa na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu walifika na zawadi kabambe.

“Uzinduzi wa duka hili unaenda sambamba na huduma bora tunazozitoa kwenye maduka yetu kila siku, jukumu letu ni moja tu kuhakikisha wateja wetu wanafurahi kila siku, mlitaka tuongeze odds kubwa tumefanya hivyo, mlitaka machaguo mengi Zaidi imekuwa hivyo”-Matina

Hali ilikuaje?: Wateja nao hawakuwa nyuma kuelezea ya moyoni, kubwa Zaidi walifurahia uzinduzi huo ulioambatana na ongezeko la odds kubwa, kuthibitisha hilo tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.

Ukiachana na michezo ya kubashiri, kuna kasino ya mtandaoni yenye sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge na familia ya mabingwa wa Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri mubashara na kama ukiona mkeka wako unachanika unaweza kuturbo kuokoa kiwango cha pesa ulichoweka.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea duka la ubashiri la meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.



Post a Comment

0 Comments