Sub-Heading: Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/XjNsx7
Kama ilivyokua kawaida ya Merdianbet ni kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii mbayo imekua ikiwazunguka na leo wametua mitaa ya Kariakoo na Manzese kugawa Aprons kwa Mama Ntilie wa maeneo hayo ili kuhakikisha wanfanya shuguli zao katika hali ya Usafi.
Sote Tunatambua ili chakula kiwe kizuri na chenye Afya lazima kiandaliwe katika mazingira mazuri ya usafi hivo Aprons hizo zitakua sehemu ya kuimarisha usafi kwa Mama Ntilie hao na kuepuka magonjwa ya mlipuko kama Kuharisha, na Kipindupindu.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Na kuhakiksha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.
Kina mama wa maenao ya Kariakoo na Manzese walifanikiwa kutoa shukrani zao kwa Kampuni ya Meridianbet kwa msaada walioutoa kwao na mmoja wao ni Mama Juice K/Koo alisema “Nimefurahi sana kupewa kitendea kazi kama hichi, ambapo kwenye biashara yangu hii ya kuuza Juice itanisaidia kulinda mazingira na usafi wa mwili” Pia nawasihi wafanyabiashara wenzangu tuwaunge mkono Meridianbet katika huduma zao kwa kwakuwa na wao wanatukumbuka sana sisi wafanyabiashara”
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
0 Comments