Ticker

6/recent/ticker-posts

MAMA MARIAM MWINYI ASHIRIKI KONGAMANO LA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kushiriki katika Kongamano la Siku ya Wananwake Duniani lililofanyika leo,lililoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).[Picha na Ikulu] 09/03/2023.

Wake wa Viongozi wastaafu na Mama Fatma Karume (kulia) wakijumuika katika na Wanawake mbali mbali katika Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, lililoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA),lililofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/03/2023.

Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Bi.Khadija Issa Said, alipokuwa akisoma taarifa yake katika Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, lililoandaliwa na (TIRA) na kufanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/03/2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, lililoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).[Picha na Ikulu] 09/03/2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Bi.Khadija Issa Said,katika Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, lililoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/03/2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) akimsalimia Mke wa rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume (katikati) aliyeshiriki katika Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, lililoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,(kushoto) Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Bi.Khadija Issa Said.[Picha na Ikulu] 09/03/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) alipokua akipokea mfano Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Ishirini kutoka kwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Bi.Khadija Issa Said zilizotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) katika Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, lililofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/03/2023.

Post a Comment

0 Comments