Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba Mheshimiwa Salvado Valdés Mesa kabla ya mazungumzo yao yaliofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 01 Machi 2023.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba Mheshimiwa Salvado Valdés Mesa na ujumbe wake, Mazungumzo yaliofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 01 Machi 2023.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Cuba Mheshimiwa Salvado Valdés Mesa mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 01 Machi 2023.

Post a Comment

0 Comments