Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Azerbaijan Mheshimiwa Shahin Mustafayev ,Mazungumzo yaliofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 01 Machi 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Azerbaijan Mheshimiwa Shahin Mustafayev na ujumbe wake, Mazungumzo yaliofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan leo tarehe 01 Machi 2023.
0 Comments