Ticker

6/recent/ticker-posts

CHEZA NA USHINDE KUPITIA MERIDIANBET MTANDAO WA SLOTI YA CRAZY TIME



*****

Sub heading: Jisajili Meridianbet na ushindemizunguko 50 ya bure kucheza michezo yakasino. Kujisajili bonyeza hapahttps://a.meridianbet.co.tz/c/4TONkF

Sloti ya Crazy Time

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni yaMeridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wamichezo ya kasino za mitandaoni - Evolution Gaming, wanakuletea mchezo wa kijanja uitwao Crazy Time.




Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilishandoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream Catcher). Usisubiri kusimuliwa kwasababu, mchezo huu utakupa furahamaradufu katika kila mzunguko.




Sloti ya Crazy Time una bonasi 4 za kukata na shoka. Unaweza kurudishiwa dau lako hadi mara 25000 bila kusahauchaguo la RNG yaani (Random Number Generation) pamojana Gurudumu la Bahati (Wheel of fortune) litakalokupa fursaya kushinda zawadi nyingine nyingi zaidi. Chizika leo na Meridianbet na ushinde kwa kupitia http://www.meridianbet.co.tz

Jinsi ya Kucheza Crazy Time



Ni rahisi sana kucheza sloti ya Crazy Time ndani ya Kasino yaMtandaoni ya Meridianbet. Mchezo huu huchezwa kwenyeGurudumu la bahati ambalo lina sehemu 54, kila sehemuinakuwa na ongezeko la dau kwa namna tofauti tofauti. 




Unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huu wa kusisimua waCrazy Time, ni kubashiri wapi gurudumu hili litasimama, kisha, weka dau lako hapo. Tumia uwanja namba 1, 2, 3, 5, 10 kwenyemchezo mkuu au tumia uwanja wa bashiri za bonasi. Maeneo yakushinda bonasi zinazohusiana na michezo ni Cash Hunt, Pachinko, Coin Flip pamoja na Crazy Time.




Cash Hunt ni mkusanyiko wa picha ambazo zinahusisha skrinikubwa yenye mazidisho 108 yasiyo na mpangilo maalumu. Coin Flip ni mchezo unaohusisha uchaguaji wa “Kichwa au mwenge” ambapo shilingi yenye rangi mbili - Nyekundu naBluu, itakupa fursa ya kuchagua upande gani shilingi hiyoinaangukia huku kwenye skirini kubwa pakioneshwa thamanihiyo. 




Pachinko ni mchezo wa bonasi ambao unahusisha ukuta wamazidisho ya thamani ya dau lako. Ina aina 16 za mazidishoambayo hayo yote yapo kwa ajili ya kukupa faida. Na, yamwisho ni Crazy Time yenyewe, mchezo huu wa bonasiunamuhitaji mchezaji kufungua mlango mwekundu na kuingiakwenye ulimwengu wa kufikirika wa kuchizika.




Kwenye ulimwengu huo, utakutana na zawadi kede kedeikiwemo pesa za papo hapo. Crazy Time ina sehemu 64, pindiGurudumu linapozungushwa unatakiwa kuboyeza kitufechekundu ili kilisimamishe. Kikubwa zaidi, unaweza kujishindiahadi mara 25000 ya dau uliloliweka kupitia bonasi ya Crazy Time. Chizika na kasino ya mtandaoni ya Merianbet naushinde!!

Post a Comment

0 Comments